• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Jack Grealish asaini mkataba mpya Villa

  (GMT+08:00) 2020-09-16 17:17:24

  Nahodha wa Aston Villa ambaye ni raia wa England Jack Grealish amesaini mkata mpya wa miaka mitano wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Mkataba huo utamfanya kiungo huyo kulipwa mshahara wa pauni laki moja na arobaini kwa wiki kutoka ule aliokuwa analipwa awali ambao ulikuwa ni pauni Elfu sabini. Grealish amekuwa akihusiswa kujiunga na klabu ya Manchester United katika dirisha hili la usajili la majira ya kiangazi ambalo lipo wazi mpaka Oktoba 05, lakini klabu ya Aston Villa imempa thamani ya fedha za Uingereza pauni milion 80 kama ada ya uhamisho kiasi ambacho Manchester United hawapo tayari kulipa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako