• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: RwandAir yaanza tena safari zake kwenda Lagos

  (GMT+08:00) 2020-09-16 18:42:56

  Shirika la ndege la Rwanda RwandAir limeanza tena safari zake za ndege kwenda mjini Lagos nchini Nigeria.

  Safari hizo zililikuwa zimesimamishwa kwa miezi kadhaa kutokana na janga la corona.

  Nigeria ilifungua viwanja vyake vya ndege kwa wasafiri wa kimataifa baada ya kufungwa kwa miezi 6.

  RwandAir itakuwa na safari 3 kwa wiki kwenda Nigeria katika uwanja wa Murtala Muhammed.

  Mkurungezi wa shirika hilo Yvonne Manzi amesema Nigeria ni mojawepo wa masoko yake muhimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako