• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa UM aihimiza jumuiya ya kimataifa kushirikiana ili kulishinda janga la COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-09-17 08:59:48

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushirikiana kwa karibu ili kulishinda janga la virusi vya Corona. Akiongea na wanahabari, Bw. Guterres amesema virusi vya Corona ni tishio namba moja kwa usalama wa dunia, na sasa ni wakati kwa jumuiya ya kimataifa kushikamana ili kuvishinda virusi hivyo. Bw. Guterres pia amesisitiza kuwa chanjo peke yake haiwezi kutatua msukosuko wa virusi vya Corona, na inatakiwa kuchukuliwa kama Bidhaa ya Umma kwa kuwa virusi havina mipaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako