• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China akagua mkoa wa Hunan

  (GMT+08:00) 2020-09-17 09:51:33

  Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Hunan, katikati ya China. Kwenye kijiji cha Shazhou, wilaya ya Rucheng, rais Xi ametembelea ukumbi wenye maonesho ya mada ya mapinduzi, kituo cha huduma za kijiji, zahanati, kituo cha maonyesho ya utalii wa kilimo cha kisasa, shule ya msingi, na nyumba za wanakijiji. Rais Xi amejionea elimu ya historia ya mapinduzi, sekta zinazosaidia kupunguza umaskini na maendeleo yaliyopatikana katika kuimarisha kazi ya kupunguza umaskini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako