• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatarajia kutoa waraka kuhusu ushiriki wa kikosi cha China katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa

  (GMT+08:00) 2020-09-17 16:03:23

  Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China, kesho asubuhi, itatoa waraka rasmi kuhusu ushiriki wa kikosi cha China katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa.

  Waraka huo utakaoitwa "Jeshi la Ulinzi la China: Miaka 30 ya Operesheni za Kulinda Amani za Umoja wa Mataifa" utatolewa kesho saa nne asubuhi katika mkutano na waandishi wa habari utakaoandaliwa na ofisi hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako