• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • COMESA yalalamikia hatua ya vizuizi dhidi ya biashara ya kuvuka mpaka

    (GMT+08:00) 2020-09-18 09:00:38

    Soko la pamoja la nchi za mashariki na kusini mwa Afrika COMESA limelalamikia vizuizi vya biashara ya kuvuka mpaka vinavyowekwa na nchi wanachama.

    Baraza la biashara la soko hilo limesema kwenye taarifa yake kuwa mamlaka za forodha hazitakiwi kutoza ushuru wa nchi zisizopewa upendeleo kwa bidhaa zinazozalishwa kwenye nchi wanachama. Baraza hilo limezitaka nchi wanachama kufuata maelekezo ya COMESA kuhusu biashara huria.

    Eneo la Biashara Huria la Pande Tatu (TFTA) linahusisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) na Soko la pamoja la nchi za mashariki na kusini mwa Afrika (COMESA).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako