• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la China lafanya mazoezi karibu na mlango bahari wa Taiwan

  (GMT+08:00) 2020-09-18 16:27:02

  Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China Ren Guoqiang ametangaza kuwa, Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) linafanya mazoezi halisi karibu na Mlango Bahari wa Taiwan.

  Amesema hatua hiyo ni muhimu na inalenga kukabiliana na hali ya sasa katika Mlango Bahari wa Taiwan ili kulinda mamlaka ya taifa na ukamilifu wa mpaka.

  Amesisitiza kuwa Taiwan ni sehemu isiyotengeka ya China, na suala la Taiwan ni mambo ya ndani ya China na hayapaswi kuingiliwa na nchi za nje.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako