• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Pjanic atangulia Camp Nou

  (GMT+08:00) 2020-09-18 16:30:58

  Klabu ya FC Barcelona wamekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Bosnia na Herzegovina, Miralem Pjanic. Pjanic amejiunga na miamba hiyo ya Ligi Kuu ya Hispania akitokea kwa mabingwa wa Italia, Juventus. Wakati huohuo, Barcelona wameripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Uholanzi na Olympic Lyon ya Ufaransa, Memphis Depay, kwa dau la pauni milioni 26. Kocha wa Barca Ronald Koeman, ambaye aliwahi kufanya kazi na mshambuliaji huyo alipokuwa kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi, anatajwa kusukuma mpango wa kusajiliwa kwake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako