• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Morrison ngoma ngumu Simba SC

  (GMT+08:00) 2020-09-18 16:32:09

  Kiungo mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, ameonekana kuwa na maisha magumu ndani ya kikosi cha Simba, hii ni baada ya kutokuwa na uhakika wa kumaliza dakika tisini kama ilivyokuwa anaitumikia Yanga. Morrison ambaye amejiunga na Simba msimu huu baada ya kumaliza mkataba wa miezi sita ndani ya Yanga, mpaka sasa amefanikiwa kucheza mechi tatu za kimashindano ndani ya kikosi hicho. Katika mechi hizo, amefunga mabao bao moja na kutengenezea mabao mawili, na katika mechi hizo zote, Morrison alicheza kwa dakika 60 tu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako