• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki ya maendeleo ya China yatoa mikopo yenye thamani ya yuan trilioni 1.5 katika kupunguza umaskini

  (GMT+08:00) 2020-09-21 08:58:00

  Takwimu zilizotolewa na Benki ya Maendeleo ya China zinaonyesha kuwa, hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Agosti, benki hiyo imetoa mikopo yenye thamani ya yuan trilioni 1.5, sawa na dola za kimarekani bilioni 222 katika kupunguza umaskini, kuunga mkono kuondoa umaskini na maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi katika sehemu zilizoko nyuma kimaendeleo.

  Benki hiyo imesema, katika miaka ya hivi karibuni, benki hiyo imeunga mkono sera, ushirikiano kati ya benki na serikali, na mbinu nyingine, na kuungaji mkono zaidi kazi za kuondoa umaskini katika sehemu zilizoko nyuma kimaendeleo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako