• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya maambukizi ya COVID-19 barani Afrika yakaribia milioni 1.4

    (GMT+08:00) 2020-09-21 09:01:07

    Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema, hadi kufikia jana Jumapili idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika imefikia 1,399,186, na watu 33,818 wamefariki kutokana na virusi hivyo.

    Wakati huohuo, Kamati ya Umoja wa Afrika jana imesema, janga la COVID-19 limezidisha changamoto kwa mfumo wa elimu barani Afrika.

    Kamati hiyo imesisitiza kuwa, kuna haja ya kuhimiza uvumbuzi kwenye mfumo wa elimu na mazingira ya maendeleo ya ufundi, kwa kutumia mapinduzi ya kidijitali, ili kuongeza athari yake na kuhakikisha vikundi vilivyo na shida haviachiwi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako