• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kufanya sensa ya 7 ya watu kuanzia Novemba 1

  (GMT+08:00) 2020-09-21 09:25:33

  Naibu mkuu wa Kamati ya Maendeleo na Mageuzi ya China Ning Jizhe amesema, sensa ya saba ya idadi ya watu itaanza Novemba Mosi, mwaka huu, ambapo wafanyakazi milioni saba watashughulikia kazi hiyo kwa kutembelea makazi ya wananchi. Amesema, sensa nzuri itatoa picha kamili kuhusu idadi ya watu, muundo na usambazaji na mwelekeo wa mabadiliko ya idadi ya watu, na itasaidia katika kupanga mikakati ya maendeleo ya kitaifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako