• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Satelaiti ya "Chang'e- No.5" kurushwa kabla ya mwisho wa mwaka huu

  (GMT+08:00) 2020-09-21 09:26:07

  Naibu mbunifu mkuu wa Mradi wa Utafiti wa Mwezi wa China Yu Dengyun amesema, mradi wa utafiti wa mwezi wa China unaendelea kwa kasi. Akizungumza kwenye Mkutano wa usafiri wa anga za juu wa China wa mwaka 2020 uliofanyika mjini Fuzhou, Bw. Yu amesema inatarajiwa kuwa Satelaiti ya "Chang'e-No.5" itarushwa kabla ya mwishoni mwa mwaka huu, na kutua kwenye Mwezi, kuchukua sampuli, na kurudi dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako