• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Sporting Lisbon kubadili jina la Academy yao na kuwa "Academia Cristiano Ronaldo"

  (GMT+08:00) 2020-09-22 15:34:23

  Klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno ambayo ndio klabu iliyomtoa nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo enzi za utotoni, imetangaza kumpa heshima ya kipekee. Imeripotiwa kuwa Sporting Lisbon kwa heshima ya mchezaji huyo sasa wanabadili jina la Academy yao na kuwa "Academia Cristiano Ronaldo" kutokana na heshima ya Ronaldo. Ronaldo alijiunga na Sporting Lisbon ya kwao Ureno akiwa na umri wa miaka 12, mwaka 1997-2002 na alipokuwa na umri wa miaka 17 ndio akapandishwa timu ya wakubwa hadi 2003 kisha kujiunga na Man United.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako