• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Suarez kujiunga na Atletico Madrid

  (GMT+08:00) 2020-09-22 15:34:46

  Baada ya kocha wa Juventus ya Italia Andrea Pirlo kunukuliwa akisema kuwa Luis Suarez ni ngumu kuwa mshambuliaji wao sababu ya ishu za uraia wa Italia kuwa ni mchakato mrefu. Sasa zimeripotiwa taarifa mpya kuwa nyota huyo wa Uruguay yuko hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Atletico Madrid ya Hispania akitokea FC Barcelona. Suarez anapambana kutafuta timu ya kwenda kuchezea mapema baada ya kocha wa sasa wa Barcelona Ronald Koeman kuweka bayana kuwa mchezaji huyo hana mipango naye.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako