• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Asilimia 90 ya wanafunzi nchini China wamerejea shuleni

    (GMT+08:00) 2020-09-22 18:24:26

    Msemaji wa wizara ya elimu ya China Xu Mei ametangaza kuwa hadi Ijumaa, takriban asilimia 90 ya wanafunzi milioni 242 wa shule za msingi, shule za sekondari na vyuo vikuu nchini China wamerejea shuleni, na kuonesha kuwa karibu wanafunzi wote wamerejea mashuleni.

    Hata hivyo wanafunzi wengi wapya bado wanasubiri kwenda chuo wakati ambapo ufunguaji wa shule ukifanyika taratibu ili kupunguza shinikizo la kudhibiti COVID-19.

    Kwa mujibu wa Xu, ufundishaji shuleni umerejea kama kawaida kwa njia salama, hatua ambayo inaonesha mfumo wa elimu wa China umehimili majaribu makubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako