• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maambukizi ya COVID-19 barani Ulaya yaongezeka huku nchi mbalimbali zikiimarisha hatua za udhibiti

    (GMT+08:00) 2020-09-22 18:49:26

    Kufuatia kuanza kwa msimu wa masomo na kuongezeka kwa mikusanyiko ya watu na sherehe, maambukizi ya COVID-19 barani Ulaya yameongezeka na kurejea tena, huku nchi mbalimbali zikianza kutekeleza hatua za zuio na udhibiti dhidi ya janga hilo kwenye maeneo yenye maambukizi mengi mapya.

    Takwimu kutoka serikali ya Hispania tarehe 21 zilionesha kuwa, idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo ilifikia zaidi ya laki 6.71, ambayo iliongezeka kwa 31,000 kuliko tarehe 18.

    Takwimu kutoka serikali ya Ufaransa tarehe 21 zilionesha kuwa, idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo ilifikia laki 4.58 na mikoa 55 iliorodheshwa kuwa maeneo ambayo virusi vya Corona vinasambaa kwa kasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako