• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ushirikiano kati ya Brazil na China katika majaribio ya chanjo ya COVID-19 waendelea vizuri

    (GMT+08:00) 2020-09-22 18:49:47

    Mkurugenzi wa taasisi ya Butantan ya Brazil inayozalisha bidhaa za immunobiology na chanjo Dkt Ricardo Palacios hivi karibuni alisema kuwa, ushirikiano kati ya Brazil na China katika majaribio ya chanjo ya COVID-19 umeendelea vizuri. Alidokeza kuwa, kama chanjo ya COVID-19 itaidhinishwa kutumika au la kunategemea uthibitisho wa ufanisi wake, na inakadiriwa kuwa matokeo ya hatua ya mwanzo yatatolewa mwishoni mwa mwaka huu.

    Dkt. Palacios alisema kuwa, takwimu zilizokusanywa kwenye majaribio zimeonesha kuwa chanjo hiyo ina mustakabali mzuri, na usalama wa chanjo ya China umethibitishwa nchini Brazil.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako