• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa biashara wa kundi la nchi 20 waunga mkono kufanya mageuzi ya lazima ya WTO

    (GMT+08:00) 2020-09-23 09:30:15

    Mawaziri wa biashara na uwekezaji wa Kundi la nchi 20 wamefanya mkutano kwa njia ya video, wakiahidi kuendelea kuimarisha uratibu na ushirikiano katika kupunguza maambukizi ya virusi vya Corona, kuhimiza ufufuaji wa biashara na uwekezaji wa kimataifa, na kufanya mageuzi ya lazima ya Shirika la Biashara duniani WTO.

    Mapendekezo ya Riyadh kuhusu mustakabali wa WTO yaliyopitishwa kwenye mkutano huo yametoa fursa ya kujadili lengo na kanuni za kimsingi za utaratibu wa biashara ya pande nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako