• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sherehe ya Tuzo ya Nobel mwaka 2020 hazitafanyika kutokana na janga la COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-09-23 09:30:42
    Kituo cha televisheni cha Sweden SVT kimeripoti kuwa, sherehe ya Tuzo ya Nobel mwaka 2020 zilizopangwa kufanyika Stockholm, zimeahirishwa kutokana na janga la virusi vya Corona, na kwamba washindi wa tuzo watashiriki kwenye hafla hiyo wakiwa nchini mwao.
    Sherehe hiyo itafanyika kupitia televisheni, ambapo picha mbalimbali kutoka nchi za washindi wa tuzo zitawekwa wakati wakipata medali na vyeti.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako