• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China imejenga vituo vya 5G zaidi ya laki 5

    (GMT+08:00) 2020-09-23 18:42:38

    Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya teknolojia katika Wizara ya Viwanda na Tehama ya China Bibi Li Ying jana hapa Beijing alidokeza kuwa, hivi karibuni China imejenga vituo vya 5G zaidi ya laki 5, na idadi ya watumiaji wa 5G imeongezeka, huku idadi ya jumla ya vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao wa 5G ikizidi milioni 100, teknolojia ya 5G ilitumika katika sekta mbalimbali zikiwemo viwanda, matibabu, vyombo vya habari na uchukuzi.

    Bibi Li Ying alisema, kuhusu maendeleo ya 5G serikali ya China itatilia maanani katika maeneo matano, yakiwemo kuhimiza ujenzi wa vituo vya 5G, kuhimiza matumizi, kuongeza uungaji mkono wa kisera, kuendeleza utafiti wa teknolojia na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako