• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Alvaro Morata ajiunga na klabu ya Juventus

  (GMT+08:00) 2020-09-23 19:04:16

  Mshambuliaji wa Atletico Madrid ya Hispania Alvaro Morata, 27, amejiunga na klabu ya Juventus ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu. Morata aliwahi kucheza Juventus (2014-2016) na baadaye kujiunga na Real Madrid ya kwao Hispania, kisha 2017 kujiunga na Chelsea alikodumu kwa miaka mitatu tu kisha kurejea Atletico.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako