• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Malori elfu saba kuzuiwa mpakani Uingereza ikiwa makubaliano ya Brexit hayatafikiwa

    (GMT+08:00) 2020-09-24 09:24:05
    Waziri wa Ofisi ya Baraza la Mawaziri la Uingereza Michael Gove amesema, malori elfu saba yatazuiliwa karibu na mpaka wa Uingereza huko Kent, ikiwa makubaliano ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya (Brexit) hayatafikiwa. Gove amesema mwisho wa kipindi cha mpito ni wakati wa fursa nzuri kwa mabadiliko na changamoto zilizoko mbeleni, na kutoa wito kwa wafanyabiashara nchini Uingereza kujiandaa kukabiliwa na mabadiliko ya taratibu za forodha. Amebainisha kuwa ni asilimia 24 tu ya wafanyabiashara wanaamini kuwa wako tayari kukabiliana na hali ngumu ya Brexit.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako