• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran sio kamari inayochezwa katika uchaguzi mkuu wa Marekani

    (GMT+08:00) 2020-09-24 09:24:39

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema, Iran sio kibao kinachotumika kwenye mchezo wa kamari katika uchaguzi mkuu wa Marekani. Amesema hayo kwenye mjadala wa kawaida wa Mkutano wa 75 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Amesisitiza kuwa Marekani haiwezi kuilazimisha Iran kufanya mazungumzo, pia haiwezi kuilazimisha Iran kuhusishwa kwenye vita. Rais Rouhani amesema ingawa maisha chini ya vizuizi ni magumu sana, lakini maisha bila ya uhuru ni magumu zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako