• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wageni wenye vibali vya aina 3 vya ukaazi waruhusiwa kuingia nchini China kuanzia Septemba 28

    (GMT+08:00) 2020-09-24 19:23:16

    Wizara ya mambo ya nje ya China na Idara ya Uhamiaji tarehe 23 zilitoa taarifa zikisema kuwa, kuanzia tarehe 28 mwezi Septemba mwaka 2020, wageni wenye kibali halisi cha ukaazi kwa ajili ya kufanya kazi nchini China, kibali cha mambo binafsi na kibali cha kukutana na familia wataruhusiwa kuingia nchini China, watu wenye vibali hivyo hawana haja ya kuomba viza tena. Isipokuwa wanatakiwa kufuata kwa makini miongozo na kanuni za kuzuia maambukizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako