• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mgombea wa nafasi ya uongozi WTO kutoka Kenya aahidi kulinda mfumo wa kibiashara wa pande nyingi

    (GMT+08:00) 2020-09-25 09:14:45

    Mgombea wa nafasi ya uongozi wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) kutoka Kenya Bibi Amina Mohamed ameahidi kulinda mfumo wa kibiashara wa pande nyingi.

    Bibi Mohamed ambaye ni waziri wa michezo wa Kenya amesema, mfumo wa kibiashara wa pande nyingi unahitaji jitihada za nchi zote wanachama ambazo zinapaswa kushirikiana ili kufufua biashara ya kimataifa.

    Pia amesema, jamii ya kimataifa inapaswa kuhakikisha kuwa kila nchi inahisi kuwa sehemu ya mfumo wa biashara ya kimataifa ya pande nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako