• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani haitapata maslahi yoyote kwa kuiwekea Iran vikwazo vya upande mmoja

    (GMT+08:00) 2020-09-25 09:26:07

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavrov amesema, jaribio la Marekani la kuiwekea Iran vikwazo vya upande mmoja kwa kutumia makubaliano ya pande zote kuhusu suala la nyuklia la Iran halitafanikiwa.

    Lavrov amesema hayo baada ya kufanya mazungumzo na mwenzake wa Iran Mohammad Javad Zarif, akisema kuwa kitendo cha Marekani hakikubaliwi na pia ni haramu, na hakiwezi kuungwa mkono na Umoja wa Mataifa, wala hakiwezi kuzuia nchi nyingine kufanya ushirikiano na Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako