• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na UM kuandaa mkutano wa ngazi ya juu wa kupunguza umasikini na ushirikiano wa kusini-kusini

    (GMT+08:00) 2020-09-25 19:21:07

    Mjumbe wa Taifa ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi kesho Jumamosi atahudhuria na kuongoza mkutano wa ngazi ya juu kwa njia ya video kuhusu kuondoa umasikini na ushirikiano wa kusini-kusini.

    Akiongea kwenye mkutano wa kila siku na wanahabari, msemaji wa wizara ya mambo ya nje Wang Wenbin amesema China itaandaa mkutano huo kwa pamoja na Idara ya Mambo ya Kiuchumi na Kijamii ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa pamoja na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP. Mwaka huu Umoja wa Matifa unaadhimisha miaka 75 tangu kuasisiwa kwake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako