• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyombo vya habari vyaanza kujiandikisha kuripoti maonesho ya CIIE ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-09-25 19:56:13

    Maonesho ya tatu ya bidhaa zinazoingizwa kutoka nje ya China CIIE yatafanyika kuanzia tarehe 5 hadi 10 mwezi Novemba mjini Shanghai, China. Tovuti ya kuandikisha vyombo vya habari vitakavyoripoti maonesho hayo ilifunguliwa rasmi tarehe 24, na siku ya mwisho ya kujiandikisha kwa wanahabari ni tarehe 20 mwezi ujao.

    Kutokana na mahitaji ya kukinga virusi vya Corona, maonesho hayo yataandikisha tu wanahabari wa China bara, Hong Kong, Macao na Taiwan pamoja na wanahabari wa nchi za nje walioko nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako