• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa maendeleo na uhakikisho wa haki za baindamu za watu wa Xinjiang wafanyika kwa njia ya mtandao

    (GMT+08:00) 2020-09-25 19:56:42

    Mkutano wa maendeleo na uhakikisho wa haki za binadamu za watu wa mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauyghur wa Xinjiang, China umefanyika kwa njia ya video, na kushirikisha watalaam na wasomi kutoka vyuo vikuu na nyanja nyingine husika.

    Wajumbe hao wanaona kuwa mkoa huo umepata mafanikio makubwa katika kuhakikisha maendeleo ya watu na kulinda haki za binadamu, ambalo ni jibu lenye nguvu kwa kitendo cha kuipaka matope China cha baadhi ya wanasiasa na wasomi wa nchi za magharibi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako