• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kuondoa umaskini na kulinda haki za binadamu wafanyika kwa njia ya video

     

    (GMT+08:00) 2020-09-25 19:57:04
    Mkutano wa kuondoa umaskini na kulinda haki za binadamu umefanyika kwa njia ya mtandao katika kikao cha 45 cha Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa. Kwenye mkutano huo, wataalam wa China na nchi za nje wamebadilishana uzoefu katika kuondoa umaskini, na kusema mafanikio ya China ya kupunguza umaskini yamechangia sana kazi ya kulinda haki za binadamu duniani.

    Takwimu zilizotolewa na Benki ya Dunia zinaonesha kuwa, tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, China imechangia asilimia 70 ya juhudi za kupunguza umaskini duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako