• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la kupambana na ugaidi, kuondoa itikadi kali na kulinda haki za binadamu lafanyika

    (GMT+08:00) 2020-09-25 19:57:36

    Kongamano la kimataifa la kupambana na ugaidi, kuondoa itikadi kali na kulinda haki za binadamu limefanyika kwa njia ya mtandao, na wajumbe wametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuongeza ushirikiano, na kukabiliana na ugaidi na itikadi kali kwa pamoja.

    Mjumbe wa China katika ofisi ya Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa mjini Geneva Chen Xu amesema, janga la COVID-19 limeleta tishio na changamoto mpya kwa juhudi za kupambana na ugaidi na itikadi kali, hivyo jamii ya kimataifa inapaswa kuhimiza taratibu za pande nyingi na ushirikiano wa kimataifa, na kuongeza uwezo wa nchi mbalimbali haswa nchi zinazoendelea katika kukabiliana na ugaidi na itikadi kali, na kulinda haki za binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako