• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • DK. SHEIN AZITAKA SERIKALI, SEKTA BINAFSI KUZIDI KUKUZA BIASHARA

    (GMT+08:00) 2020-09-28 18:31:28

    Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein ameitaka sekta binafsi kuendelea kushirikiana na serikali katika kukuza sekta ya biashara, ambayo hivi sasa inaendeshwa kupitia sekta hiyo.

    Rasi Shein alisema katika kufanikisha dhamira hiyo, serikali ya Zanzibar itaendelea kuimarisha mazingira ya kuendesha shughuli za kibiashara na kukuza uwekezaji.

    Pia anawataka wanancvhi kufanya kazi kwa bidii na kujiamini kwa kuelewa kuw amafanikio yatapatikana kupitia wananchi wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako