• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Taifa Stars kucheza mechi ya kirafiki na Burundi Oktoba 11

  (GMT+08:00) 2020-09-29 19:03:58

  TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi katika kalenda ya FIFA Oktoba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kufuatia ratiba hiyo kuna uwezekano kuwa

  mechi za Raundi ya Sita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizopangwa kuchezwa kati ya Oktoba 9 na 12 zinaweza kuahirishwa kupisha mchezo huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako