• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO: Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona duniani yapita milioni moja

    (GMT+08:00) 2020-09-30 09:11:07

    Takwimu mpya zilizotolewa jana na Shirika la Afya Duniani WHO zinaonesha kuwa idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona kote duniani imepita milioni moja. Marekani ni nchi yenye vifo vingi zaidi vinavyotokana na virusi hivyo, ikifuatiwa na Brazil na India.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako