• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 14 wauawa kwenye mlipuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara mkoani Daykundi, Afghanistan

    (GMT+08:00) 2020-09-30 09:11:39

    Maofisa wa serikali ya Afghanistan wamethibitisha kutokea kwa mlipuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara jana Jumanne katika mkoa wa Daykundi ulioko katikati ya nchi hiyo, ambao mpaka sasa umesababisha vifo vya watu 14, wakiwemo wanawake saba na watoto watatu.

    Mkuu wa Idara ya Polisi Mkoa wa Daykundi amesema mlipuko huo ulitokea saa tatu jana asubuhi baada ya gari lililokuwa limebeba raia 17 kukanyaga bomu la kutegwa ardhini.

    Ofisa huyo amelishutumu kundi la Taliban kwa kutega bomu hilo, lakini mpaka sasa Taliban bado halijatoa tamko lolote kuhusiana na tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako