• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani ni nchi inayofanya mashambulzi ya mtandao kwa wingi zaidi dhidi ya China

    (GMT+08:00) 2020-09-30 09:30:00

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Wang Wenbin jana hapa Beijing alisema, China bado ni moja wapo ya nchi zinazoathiriwa na mashambulizi ya mtandao, ambapo katika kipindi cha mlipuko wa COVID-19 mashambulizi ya mtandao dhidi yake yameongezeka. Ameweka wazi kuwa Marekani ni nchi inayofanya mashambulizi ya mtandao kwa wingi zaidi dhidi ya China.

    Bw. Wang amezitaka nchi mbalimbali ziimarishe mawasiliano na ushirikiano kwa msingi wa kuheshimiana na kunufaishana, ili kukabiliana na changamoto ya mashambulizi ya mtandaoni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako