• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watumiaji wa mtandao nchini China yafikia milioni 940

    (GMT+08:00) 2020-09-30 09:30:32

    Kituo cha habari za mtandao wa Internet cha China (CNNIC) jana kimetoa ripoti ya takwimu kuhusu hali ya maendeleo ya mtandao wa Internet nchini China kikisema, hadi kufikia mwezi Juni mwaka huu, idadi ya watumiaji wa mtandao nchini China imefikia milioni 940, na kuchukua moja ya tano ya watumiaji wa mtandao duniani.

    Naibu mkurugenzi wa Taasisi ya mikakati ya uvumbuzi na maendeleo ya taifa la China Bw. Lyu Benfu anaona kuwa, matumizi ya kidigitali yakiwemo manunuzi wa mtandaoni yametilia nguvu mpya katika kuhimiza ongezeko la uchumi, na huduma za kidigitali kama vile kufanya kazi kutoka mbali, zimekuwa aina mpya ya huduma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako