• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi awakumbuka mashujaa wa taifa kwa kuweka mashada ya maua uwanja wa Tian'anmen

    (GMT+08:00) 2020-09-30 10:38:47

    Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa chama cha Kikomunisti cha China CPC akiwa pamoja na viongozi wengine wa chama na taifa wamehudhuria hafla ya kuweka mashada ya maua kwa mashujaa wa taifa waliotangulia mbele ya haki katika Uwanja wa Tian'anmen.

    Hafla hiyo iliyofanyika leo asubuhi ni kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Mashahidi wa Vita, kabla ya Siku ya Taifa ambayo itakuwa kesho tarehe Mosi Oktoba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako