• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za pole kutokana na kifo cha Emir wa Kuwait

    (GMT+08:00) 2020-09-30 19:23:43

    Rais Xi Jinping ametuma salamu za pole kwa Emir mpya wa Kuwait Sheikh Nawaf Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah, kufuatia kifo cha Emir Sheikh Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah.

    Kwa niaba ya serikali ya China na watu wake, rais Xi ametoa salamu za rambirambi, na salamu za pole za dhati kwa jamaa za Emir Al-Sabah na watu wote wa Kuwait.

    Rais Xi amesisitiza kuwa anaweka mkazo mkubwa katika urafiki wa jadi kati ya China na Kuwait, na kuamini kuwa kutokana na juhudi za pamoja za pande zote mbili, ushirikiano wa kimkakati kati ya pande hizo mbili utaendelea kuimarishwa na kupata maendeleo mapya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako