• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asisitiza kuwa China itatoa mchango kwa kuhimiza usimamizi wa mazingira duniani

    (GMT+08:00) 2020-10-01 09:33:08

    Rais Xi Jinping wa China jana kwenye mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu anuai ya viumbe ametoa hotuba kwa njia ya video akisisitiza kuwa, China itashikilia dhana ya jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, na kutoa mchango kwenye kuimarisha uhifadhi wa anuai ya viumbe na kuhimiza usimamizi wa mazingira duniani.

    Rais Xi amesema, anuai ya viumbe ni msingi muhimu kwa binadamu kuishi na kupata maendeleo. Ni lazima kuhimiza uwiano kati ya maendeleo ya uchumi na uhifadhi wa mazingira, kushikilia maendeleo endelevu yasiyo na uchafuzi, na kutimiza uhifadhi wa mazingira ya viumbe sambamba na maendeleo ya uchumi yenye ubora wa juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako