• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa Marekani wakadiriwa kuporomoka kwa asilimia 31.4 katika robo ya pili ya mwaka

    (GMT+08:00) 2020-10-01 09:34:32

    Ripoti ya makadirio ya tatu ambayo ni ya mwisho iliyolewa jana Jumatano na Wizara ya Biashara ya Marekani inasema, uchumi wa Marekani uliporomoka kwa asilimia 31.4 katika robo ya pili ya mwaka kutokana na athari za janga la virusi vya Corona, kiwango ambacho ni asilimia 0.3 juu zaidi kuliko makadirio yaliyotolewa mwezi Agosti.

    Katika robo ya kwanza ya mwaka huu, Pato halisi la taifa nchini Marekani lilipungua kwa kiwango cha mwaka cha asilimia 5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako