• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa UN Women atoa wito wa kuchukuliwa "hatua kubwa za kijasiri" ili kuhimiza usawa wa jinsia

    (GMT+08:00) 2020-10-02 09:13:08

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake (UN Women), Phumzile Mlambo-Ngcuka jana Alhamisi alitoa wito wa kuchukuliwa "hatua kubwa za kijasiri" ili kutimiza usawa wa jinsia.

    Akiongea kwenye mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa wa kuadhimisha miaka 25 ya Mkutano wa Nne wa Wanawake Duniani, Bi. Mlambo-Ngcuka alisema sasa ni wakati wa chukua hatua katika nyanja mbalimbali, ikiwemo kubadilisha mwelekeo wa historia kwa wanawake na wasichana, kufuta sheria za kibaguzi na kutokomeza ukatili wa wanaume dhidi ya wanawake na wasichana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako