• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Taasisi ya haki za binadamu ya China yatoa maoni kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2020-10-02 09:23:24

    Kwenye mkutano wa 45 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa uliofanyika karibuni huko Geneva, Taasisi ya Haki za Binadamu ya China imetoa maoni kwa njia ya maandishi na video kuhusu masuala ya China yakiwemo mafanikio ya kazi ya kupunguza umaskini nchini China wakati wa janga la COVID-19, suala la maji ya kunywa na miundombinu ya usafi, suala la mamluki, haki za wazee, utaratibu wa kimataifa, shughuli za kiutamaduni za makabila madogo madogo mkoani Xinjiang, n.k.

    Taasisi ya Haki za Binadamu ya China imesema, wakati inapodhibiti janga la COVID-19, China pia inachukua hatua mfululizo ili kupunguza athari za janga hilo kwa uchumi, jamii na utamaduni, hasa kupunguza athari zake kwa watu wenye matatizo ya kiuchumi. Na idadi ya watu maskini nchini China haiongezeki kutokana na janga la COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako