• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maendeleo ya dunia yahitaji kuingia kwenye njia shirikishi, endelevu na yenye usawa zaidi

    (GMT+08:00) 2020-10-02 14:06:38

    Rais Xi Jinping wa China akihutubia mkutano wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuadhimisha miaka 25 tangu kufanyika kwa mkutano wa wanawake duniani wa Beijing amesema, janga la COVID-19 limeleta changamoto ambayo haikuwahi kutokea, pamoja na fursa ya kufikiria na kujenga upya mustakabali, na maendeleo ya dunia yanahitaji kuingia kwenye njia shirikishi, endelevu na yenye usawa zaidi.

    Shirika Kuu la Utangazaji la China limetoa tahariri ikisema maneno hayo ya rais Xi ni ufunguo wa kufahamu mapendekezo ya China kuhusu masuala ya dunia baada ya janga la COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako