• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwanda cha mbolea cha Sh3bn kufunguliwa huko Nakuru mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-10-07 18:33:36

    Kiwanda cha kwanza cha utengenezaji wa mbolea nchini Kenya kinatarajiwa kufunguliwa Nakuru mwishoni mwa mwaka, katika kile kinachotarajiwa kuongeza mavuno ya wakulima mnamo 2021.

    Kiwanda cha Shilingi bilioni 3 cha NPK kitasambaza tani 100,000 za pembejeo za shamba zinazohudumia hadi wakulima milioni mbili nchini kila mwaka.

    Kiwanda hicho, kilichojengwa na Fertiplant East Africa Ltd kitatumia teknolojia ya hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako