• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Spika wa bunge la Ulaya ajitenga kutokana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-10-09 09:29:56

    Spika wa bunge la Ulaya David Sassoli ameamua kujitenga mwenyewe kutokana na mfanyakazi aliye karibu nae kuthibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona. Bw Sassoli alitoa ujumbe kwenye Twitter kwamba, anajisikia vizuri na hana dalili yoyote ya kuambukizwa, hata hivyo anafuata maagizo ya kujitenga mwenyewe na kufanyiwa upimaji wa lazima. Bw. Sassoli alihudhuria mkutano wa bunge la Ulaya uliofanyika wiki hii huko Brussels, Ubelgiji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako