• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Moto katika ghala la silaha Russia waendelea

    (GMT+08:00) 2020-10-09 09:32:50

    Moto uliozuka Jumatano katika ghala la silaha la jeshi la Russia lililopo mkoani Ryazan, magharibi mwa nchi hiyo bado unaendelea, na kusababisha watu 16 kujeruhiwa na mabomu 1,620 kulipuka. Habari kutoka serikali ya mkoa huo zinasema mabomu yanalipuka kila baada ya dakika 20 hadi 30, na majengo zaidi ya 20 yameharibiwa katika tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako