• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • G20 yaahidi kuhimiza maendeleo ya sekta ya utalii

    (GMT+08:00) 2020-10-09 17:39:04

    Mawaziri wa utalii wa Kundi la nchi 20 (G20) wamefanya mkutano kwa njia ya video ambapo wameahidi kuhimiza maendeleo ya sekta ya utalii na kuinua mchango wa sekta hiyo kwa maendeleo endelevu ya dunia.

    Taarifa iliyotolewa na mkutano huo ulioendeshwa na Saudi Arabia ambayo ni nchi mwenyekiti wa zamu wa G20, inasema kundi hilo litafanya juhudi kuhimiza ufufukaji wa sekta ya utalii na kuiendeleza sekta hiyo iwe sekta muhimu na yenye ustahimilivu, na kuchangia zaidi katika kuharakisha ufufukaji wa uchumi wa dunia baada ya janga la COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako