• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafungwa 9 wafariki kufuatia ghasia kutokea katika gereza moja nchini Ufilipino

    (GMT+08:00) 2020-10-09 19:32:20

    Polisi nchini Ufilipino imesema wafungwa 9 wamefariki katika ghasia zilizotokea kwenye gereza la New Bilibid lililoko mji mkuu wa nchi hiyo, Manila alfajiri ya leo.

    Polisi wamesema, makundi mawili pinzani yamepigana majira ya saa nane na nusu usiku kwa saa za huko, na kwamba vurugu hiyo ilidhibitiwa saa kumi alfajiri.

    Mamlaka ya Kurekebisha Tabia (BurCor) imethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ikisema idadi isiyojulikana na wafungwa wameuawa katika ghasia hizo, lakini bado inasubiri ripoti kamili, na kwamba uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako